Text Practice Mode
English to Swahili translation
created Jan 18th 2020, 21:31 by Castor Ngowi
1
77 words
17 completed
2
Rating visible after 3 or more votes
saving score / loading statistics ...
00:00
With development of devices that capture motor neuron impulses right from the scalp, I see the future possibility of getting a keyboard which, one will just wear it as a hat or cap, and then type on any surface. I am just dreaming.
Kutokana na maendeleo ya vifaa vinavyoweza kudaka taarifa za ubongo zinazokwenda kwenye viungo vya mwili, naona uwezekano mbeleni wa kuja kuwa na kichapishio anachovaa mtu kama kofia na kufanikisha kuchapisha mahali popote. Naota tu.